Nyuma ya Mapazia

Nyuma ya Mapazia

by R. Mtobwa
Nyuma ya Mapazia

Nyuma ya Mapazia

by R. Mtobwa

eBook

$12.49  $16.00 Save 22% Current price is $12.49, Original price is $16. You Save 22%.

Available on Compatible NOOK Devices and the free NOOK Apps.
WANT A NOOK?  Explore Now

Related collections and offers


Overview

Tanzania iliingia katika uchaguzi mkuu ulioshirikisha vyama vingi kwa mara ya kwanza mwaka wa 1995. Kampeni kubwa za kitaifa na kimataifa zilifanyika hadharani na sirini. Yako mengi yaliyokuwa yakiendelea Nyuma ya Mapazia . Mengi ya kutisha na kuogofya, na ambayo yaliambatana na matumizi makubwa ya pesa, mauaji ya kikatili na ujambazi usio na kifani. Joram Kiango, Inspekta Kombora na kikosi kizima cha polisi wanagonga mwamba katika harakati zao za kutatua kizungumkuti hicho. Kutokweka kwa King Halfan King na maiti ya mpenziwe kupatikana ikielea ufukweni wa Bahari ya Hindi kunazidisha maswali mengi bila majibu. Hata hivyo, kizungumkuti hiki kitatatuliwa?

Product Details

ISBN-13: 9789966565921
Publisher: East African Educational Publishers
Publication date: 05/09/1984
Sold by: Barnes & Noble
Format: eBook
Pages: 152
File size: 2 MB
Language: Swahili
From the B&N Reads Blog

Customer Reviews