JILINDE NA WAHALIFU WENYE MIKAKATI: Majambazi na Magaidi

JILINDE NA WAHALIFU WENYE MIKAKATI: Majambazi na Magaidi

by Godwin Chilewa
JILINDE NA WAHALIFU WENYE MIKAKATI: Majambazi na Magaidi

JILINDE NA WAHALIFU WENYE MIKAKATI: Majambazi na Magaidi

by Godwin Chilewa

Paperback

$12.95 
  • SHIP THIS ITEM
    Qualifies for Free Shipping
  • PICK UP IN STORE
    Check Availability at Nearby Stores

Related collections and offers


Overview

Jifunze mbinu rahisi za kuwatambua wahalifu wenye mikakati (majambazi, magaidi na vibaka), kutambua wahalifu wanaokufuatilia kwa lengo la kukupora au kukuteka nyara, na jinsi ya kujilinda kwa mtutu wa bunduki.

Product Details

ISBN-13: 9798218001162
Publisher: GOSTCH Publishers
Publication date: 04/30/2022
Pages: 202
Product dimensions: 5.50(w) x 8.50(h) x 0.46(d)

About the Author

Bw. Godwin Chilewa anao uzoefu wa hali ya juu katika masuala ya intelejensia, ulinzi na usalama. Akiwa mtumishi mwandamizi wa Ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Godwin amefanya kazi na vyombo mbalimbali vya ulinzi na usalama ikiwa pamoja na idara ya Usalama wa Taifa (TISS), kikosi cha makomando wa JWTZ, idara ya upelelezi wa makosa ya Jinai (CID), na idara ya ukachelo ya Marekani (FBI). Godwin amehitimu mafunzo ya upelelezi na ujasusi ndani na nje ya nchi.
From the B&N Reads Blog

Customer Reviews